Rwandan flag Embassy of Rwanda in Dar es Salaam

Address32, Ali Hassan Mwinyi Road
Dar es Salaam
Tanzania
PostalPO Box 2918
Phonelocal: (022) 213.0119
international: +255.22.213.0119
Faxlocal: (022) 211.5888
international: +255.22.211.5888
Emailambadsm@minaffet.gov.rw

Comments on this Embassy

Martin Mulikuza
Tue, 29 May 2018 12:39 EDT
OMBI LA NAFASI KUFUNDISHA SOMO LA KISWAHILI NCHINI RWANDA
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Husika na mada ya hapo juu,
Naitwa Martin Mulikuza, nina shahada ya kwanza ya lugha ya Kifaransa kutoka Chuo kikuu cha London - Uingereza, mwaka 1987. Pia ninasoma M.A.Kiswahili ya Chuo Kikuu Uria Tanzania nategemea kumaliza Novemba 2018
Nina uzoefu wa miaka ishirini katika kufundisha lugha ya kiswahili na kifaransa
Natumaini ombi langu likubaliwa.
Simu na. 0682913852
Email. barheba@gmail.com
paschal kinyemi
Tue, 29 May 2018 01:31 EDT
maombi ya kupata ufadhiri wa kusoma undergraduate in Rwanda
Mimi ni kijana mwenye miaka 19 ambaye nategemea kumalza elimu ya kidato cha sita mwezi wa tano mwaka 2019, mimi ni mtanzania
call. 0676893162
email :paschalkinyemi@gmail.com
Happy George
Tue, 8 May 2018 13:32 EDT
Yah: Maombi ya kufundisha Somo la Kiswahili Nchini Rwanda.
Rejea mada tajwa hapo juu,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33,nina shahada ya kwanza ya ualimu katika somo la kiswahili katika chuo kikuu cha Dodoma.Nina uzoefu wa
Katika kufundisha somo hili la kiswahili.
Natumaini ombi langu litashughulikiwa.Mawasiliano 0753-058727.
mariam ally yusuph
Thu, 26 Apr 2018 09:32 EDT
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI
Husika na kichwa cha habari,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, nimehitimu shahada ya ualim hasa somo la kiswahili na historia katika chuo kikuu cha Dodoma.niaomba nafasi ya kufundisha kiswahili nchini Rwanda. Nitashukuru sana kama nitashughulikiwa ombi langu.
Mawasiliano, 0712827138.
E-mail salhaty22@gmail.com
PRINCESS JOHN
Mon, 23 Apr 2018 15:58 EDT
MAOMBI YA KUFUNDISHA RWANDA
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 23,nipo chuo kikuu cha UDSM , mwaka wa pili .Ninasomea masomo ya Lugha A
amazon no lugha ya Kiswahili na Kifaransa.Ninaomba nafasi ya kufundisha nchini kwenu kwasababu ninaweza na shupavu katika ufundishaji wa lugha za kigeni. Ninaamini mtafurahia uwezo wangu wa kufundisha somo la kiswahili .Ninatanguliza shukrani zangu na kuhaadi kuwa hamtajutia kunipatia hiyo nafasi.
J.Princess
+225675577886 /+225752694940
email princesjohn06@gmail.com
pelegrine kigodi
Mon, 12 Feb 2018 09:39 EST
maombi ya kufundisha kiswahili nchini Rwanda
mimi ni mtanzania, mwanaume, ninaomba kazi ya kufundisha somo la kiswahili nchini Rwanda. ni mzoefu na mwandishi wa vitabu kwa shule za msingi kupitia bantu digitals co ltd. nimehitimu katika chuo kikuu cha dar es salaam mwaka 2005. nina shahada ya uzamili katika taaluma ya maendeleo.
mawasiliano +255 655716497, e- mail pele4kigodi@mail.com
Matwiga E Mwita
Fri, 19 Jan 2018 05:58 EST
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Husika na maada tajwa hapo juu. Mimi ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 28, niliyehitimu shahada ya kwanza ya ualimu katika chuo kikuu cha MTAKATIFU AGOSTINO CHA TANZANIA (SAUT) mwaka 2015, katika lugha ya KISWAHILI na JIOGRAFIA (GEOGRAPHY). Nitafurahi iwapo ombi langu litakubaliwa. m.e.mwita Matwiga E Mwita Mwombaji 0756505107
Silvester Mkinga
Fri, 15 Dec 2017 13:05 EST
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Husika na mada ya hapo juu,
Naitwa Silvester Mkinga,nina shahada ya kwanza ya sanaa na elimu katika masomo ya Kiswahili na Kifaransa kutoka Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji- Mbeya - Tanzania, mwaka 2009. Pia nina M.A.Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 2013.
Naomba nafasi ya kufundisha somo la Kiswahili katika nchi ya Rwanda.
Natumaini ombi langu likubaliwa.
Simu na. 0755317967
Email. smkinga9@gmail.com
Sr. Mariana S. Mrosso
Tue, 5 Dec 2017 01:36 EST
kufundisha somo la kiswahili Ujrerumani au Uingereza
MAOMBI YA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI
Mimi ni sista tena Mtanzania, niliye hitimu shahada ya kwanza na ya pili, mwenye uzoefu wa miaka mitatu ya ufundishaji wa somo la kiswahili katika sekondari ya Mt. Maria Goreti iliopo Moshi Kilimanjaro. ninaomba nafasi ya kufundisha somola lugha ya kiswahili katika nchi ya Ujerumani au Uingereza.kwa kuwa mimi ni kiongozi pia nitatoa maadili mema kwajamii husika.
Nina imani kubwa ombi langu litakubaliwa.
Sr. Mariana S. Mrosso
+2257552242071 au +225785699630
S. L. P 7360, MOSHI -KILIMANJARO.
Email marianamrosso@gmail.com
Deogratias hezekiel
Tue, 28 Nov 2017 02:11 EST
OMBI LA NAFASI KUFUNDISHA SOMOLA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Mimi ni mtanzania mwenye miaka 28 ninaishi mkoa kagera nchini Tanzania nimehitimu elimu ya shahada katika somo la Kiswahili niko tayali kufundisha somo la Kiswahili. Nimehitimu katika chuo cha Josiah kibira tawi la Tawi la tumaini makumira.
Natanguliza shukrani katika kazi.
No za simu ni.0787781704/0765170036.

Post a comment on this page

We invite you to share your experiences with the Rwandan Embassy — obtaining visas and other services, locating the building, and so on. Your comments may be seen by the public, so please do not include private information.

Your name
Headline
Your message
Max 2000 characters
 

This web site is not operated by the Embassy and your comments and questions will not necessarily be seen by its staff. Please note that this is not a forum for broad debate about the foreign policy of Rwanda, and such topics will be deleted.