Rwandan flag Embassy of Rwanda in Dar es Salaam

Address32, Ali Hassan Mwinyi Road
Dar es Salaam
Tanzania
PostalPO Box 2918
Phonelocal: (022) 213.0119
international: +255.22.213.0119
Faxlocal: (022) 211.5888
international: +255.22.211.5888
Emailambadsm@minaffet.gov.rw

Comments on this Embassy

Hamisi Jumapili
Sat, 29 Sep 2018 01:56 EDT
MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI NJE YA NCHI
Rejea madam tajwa hapo juu.Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 34, elimu yangu ni shahada ya elimu niliyotunukiwa katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo-Tabora katika masomo ya Kiswahili na Kiingereza.Naomba kufundisha na kukitangaza Kiswahili kokote nje ya nchi. Nina uzoefu wa kutosha katika somo hili. Natumai ombi langu litashughulikiwa.
Ahsante.

Simu:0623985721

Baruapepe:hamisimambo55@gmail.com
ALISTIDIA Scalion
Thu, 27 Sep 2018 07:43 EDT
0769665143
YAH:MAOMBI YA UFUNDISHAJI KISWAHILI RWANDA.
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu, mtajwa hapo juu ni muhitimu wa shahada ya ualimu chuo kikuu Dar es Salam, Tanzania, katika masomo ya kiswahili na kiingereza. Niko tayari kufundisha somo la kiswahili ikiwemo kuitangaza lugha hiyo ulimwenguni kote kwa moyo wa dhati.Wako katika uendelezaji wa kiswahili ulimwenguni. Natumai ombi langu litashughulikiwa,
A.Scalion
Fales S. Kalusini
Thu, 27 Sep 2018 05:04 EDT
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA SOMO LA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Mimi ni mtanzania mwenye umri upatao miaka 30. Nimehitimu shahada ya kwanza ya ualimu katika masomo ya kiswahili na historia katika chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichopo mkoani Arusha mwaka 2018.
Naomba kufundisha somo la kiswahili nchini Rwanda na sehemu yoyote ile. Nina uzoefu wa kutosha katika somo ilo, natumaini kuwa ombi langu litakubaliwa. Mawasiliano +255656277949 email faleskalusini@gmail.com
ESTACH PIUS CHUBWA
Thu, 27 Sep 2018 03:49 EDT
Bachelor of arts with educatiom
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA SOMO LA KISWAHILI NCHINI
RWANDA

Rejea mada tajwa hapo juu mm n Mtanzania kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24, Nimehitimu shahada ya kwanza ya elimu katika somo la Kiswahili na Historia ,ninayo heshima kubwa kuomba nafasi ya kufundisha somo la Kiswahili nchini Rwanda na hata nchi yoyote hapa Afrika na nje ya Afrika
Nimatumiani yangu kuwa ombi langu litafanikiwa na natanguliza shukran za dhati.
Mawasiliano- 0763096421
esterchpiuschubwa@gmail.com
SALUM NURDIN HIZZA
Thu, 27 Sep 2018 02:39 EDT
YAH: MAOMBI YA UFUNDISHAJI SOMO LA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Rejea Mada tajwa hapo juu, mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 26, nimehitimu shahada ya ualimu kutoka chuo kikuu TUMAINI MAKUMIRA ARUSHA, masomo kiswahili na historia. nipo tayari kufundisha kiswahili nchini Rwanda na nchi yoyote kwa sababu nina uzoefu wa kutosha. Natumaini ombi langu litakubaliwa.
Mawasiliano +255719234770
salumnurdin0044@gmail.com
SHARIFA NURU
Wed, 26 Sep 2018 08:55 EDT
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI RWANDA.
Rejea kichwa cha barua tajwa hapo juu chahusika.Mimi ni Mtanzania,msichana mwenye umri wa miaka 27. Nimehitimu shahada ya Ualimu katika chuo kikuu cha TUMAINI MAKUMIRA ARUSHA mwaka 2018. Ni mmahili katika masomo ya lugha ya Kiswahili na Kingereza.Nipo tayari kufundisha nchi yoyote ili kurahisisha mawasiliano ya watumiaji.Ni matumaini yangu kuwa ombi language litakubaliwa.Natanguliza Shukran. Mawasiliano.0757475940
Email;sharifanamara140@gmail.com
CHRISTOPHER C TADEY
Wed, 26 Sep 2018 02:40 EDT
YAH: OMBI LA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHI YA RWANDA.
Rejea barua hii hapo juu. Naitwa Christopher c Tadey ni mtanzania mwenye umri wa miaka 27, mhitimu wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino tawi la arusha(saut). Ni mwalimu wa kiswahili na masomo ya saana. Ombi langu ni nafasi ya kufundisha kiswahili,
Natanguliza shukrani zangu.
Mawasiliano.
+255763048905
tadeichris08@gmail.com
FATUMA A. SHABANI
Wed, 26 Sep 2018 02:13 EDT
YAH. MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI RWANDA.
Tafadhali naomba husika nakichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mtanzania, msichana Mwenye umri wa miaka 27, nimeitimu shahada ya ualimu katika chuo cha Tumaini Makumira kilichopo Arusha. ni mmahiri katika masomo ya kiswahili na kingereza. Niko tayari kufanya kazi Nchi yoyote ile kufundisha kiswahili kwani lugha yangu nsipenda sana. Natumai ombi langu litashughulikiwa. wako katika ujenzi wa Taifa F.Shabani. Simu 0767624861. Email: fetyebdy@gmail.com
NORMA JOSEPH MATONYA
Wed, 26 Sep 2018 01:17 EDT
YAH: OMBI LA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, nimehitimu shahada ya ualimu masomo ni Kiswahili na Kiingereza katika chuo cha Mtakatifu Augustino tawi la Arusha. Niko tayari kufanya kazi nchi yoyote kufundisha Kiswahili kwani ni lugha yangu ya taifa na ninaipenda hivyo nitafundisha kwa moyo wa dhati. Ni matumaini yangu ombi litashughulikiwa.
Wako katika ujenzi wa taifa
Norma Matonya
Simu: +255753835149
E-mail: matonyanorma@gmail.com
PATRICK PASCAL
Tue, 25 Sep 2018 08:37 EDT
YAH:MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI
Rejea mada tajwa hapo juu
Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 33,mwenye elimu ya diploma ya ualimu kutoka chuo cha ualimu Tukuyu mwaka 2009, katika masomo ya kiswahili na historian naomba kufundisha somo la kiswahili nchini Rwanda katika shule yeyote ile ya serikali kiswahili,kwani ninauzoefu wa miaka 9 katika kufundisha kiswahili nchini Tanzania
Nimatumaini yangu kuwa ombi langu litazingatiwa
Simu no 0765610796
Email ndibaiyukamu@gmail.com

Post a comment on this page

We invite you to share your experiences with the Rwandan Embassy — obtaining visas and other services, locating the building, and so on. Your comments may be seen by the public, so please do not include private information.

Your name
Headline
Your message
Max 2000 characters
 

This web site is not operated by the Embassy and your comments and questions will not necessarily be seen by its staff. Please note that this is not a forum for broad debate about the foreign policy of Rwanda, and such topics will be deleted.