Embassy of Rwanda in Dar es Salaam
Address | 32, Ali Hassan Mwinyi Road Dar es Salaam Tanzania |
---|---|
Postal | PO Box 2918 |
Phone | local: international: |
Fax | local: international: |
ambadsm@ |
Address | 32, Ali Hassan Mwinyi Road Dar es Salaam Tanzania |
---|---|
Postal | PO Box 2918 |
Phone | local: international: |
Fax | local: international: |
ambadsm@ |
Comments on this Embassy
Mtajwa hapo juu ni mhitimu was shahada ya kwanza katika chuo cha Mtakatifu Augustine(SAUT) tawi la Arusha mwaka 2018. Ninayo furaha kuomba hii nafasi kutokana na uzoefu nilio nao wa kufundisha watoto, wanafunzi kuanzia ngazi ya msingi hai sekondari.
MAWASILIANO
0755874595
mushigreal285@gmail.com
MIMI NI MUHITIMU WA SHAHADA YA KWANZA KATIKA MASOMO YA HISTORIA NA KISWAHILI. NI MWALIMU MZURI WA KISWAHILI NA NINA UJUZI WA KUFUNDISHA KISWAHILI KWA WAGENI.NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU NIKIWA NA MATUMAINI YA KUPATA FURSA HII ADHIMU.EMAIL happysangi0442@gmail.com
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI RWANDA
fundisha kiswahili kupitia ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania. Kwani uwezo uzoefu wa kufundisha somo hili ninao mkubwa sana.Mimi BULASHI GWANCHELE ZACHARIA ni mtanzania mkazi wa Mwanza, mwenye umri wa miaka 26, nimehitimu shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha Dar es salaam nikisomea uwalimu wa masomo ya sanaa ya Kiswahili na historia mwaka 2017, Ninaomba ku
Natanguliza shukrani zangu za dhati,hali kadhalika natumai ombi langu litakubaliwa.
Wako katika uendelezaji na ukuzaji wa lugha ya kiswahili Afrika ya Mashariki.
B. Zacharia
BULASHI GWANCHELE ZACHARIA
SIMU: +255 762 04 98 98
Email zachariagwanchele@gmail.com
husika na somo hapo juu.
mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 26 ni muhitimu wa chuo kikuu Dodoma mwaka huu 2018 nikisomea somo la kiswahili na historia. Ninaomba nafasi ya kufundisha kiswahili nchi yoyote ya afrika. Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litafikiliwa.
mawasiliano 0652903607
framiankisailo512@gmail.com
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Naitwa Tito Lupogo, ni mwalimu Wa somo la kiswahili kwa muda Wa miaka nane katika shule mbalimbali za serikali na binafsi kwa ufanisi mkubwa.
Pia, kwa upande wa elimu nilihitimu shahada ya kwanza mwaka 2011 na kufanya vizuri sana katika masomo ya kiswahili katika chuo kikuu cha Dodoma. Kwa sasa nasoma shahada ya uzamili( M.A kiswahili-fasihi) chuo kikuu huria cha Tanzania ambayo natarajia kuhitimu mwezi disemba.
Natanguliza shukurani,
0755271106
lupogocompany@gmail.com
Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza chuo kikuu cha Dodoma 2015. mwalimu wa kiswahili Na geography
Simu 0754913507
Pepe godmtey@yahoo.com
Rejerea kichwa cha barua hii.
Mtajwa Elisha EEzekiel Mswelo nnimmtanzaniamwenye miaka 30, na mhitimu chuo kikuu cha Tumaini (Shahada) 2015. Najitokeza kuomba kazi, ya ufundishaji lugha ya kiswahili, Kwa shule yeyote ya serikali nchini Rwanda.
Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litapokelewa na kupewa ufanisi zaidi.
Wako katika ujenzi wa taifa
E.Mswelo
Elisha Mswelo
elishamswelo12@gmail.com
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni Mtanzania, mwenye umri wa miaka 27, ni mhitimu wa Shahada ya kwanza,katika chuo kikuu cha Dar es Salaam.Ni mmahiri katika masomo ya Lugha ya Kiswahili na Literature. Niko tayari kufanya kazi. Ni imani yangu ombilangu litashughulikiwa.
Simu:0769847623
b/pepe:kakwezievody@gmail.com
Refer the above haeding
i am a Tanzanian student aged 19 years old from kagango high school ,i expect to complete to complete my Alevel studies on may,2019 successifully with good grade in history,geography,economics,and Basic applied mathematics i would like to seek for connection or sponsorship of undergraduant in Rwanda
looking forwad for your reply, contact+255768891718/jumajonathaj@gmail.com
Refer the heading above
i am a tanzanian boy aged 19 years old,a student from kagango high school i expect to complete my A level studies on may the next year 2019 with good performance in history,economics,geography and basic aplied mathematics i would like to ask for this chance early
i hope to meet your positive response
your faithful
j.juma
Post a comment on this page
We invite you to share your experiences with the Rwandan Embassy — obtaining visas and other services, locating the building, and so on. Your comments may be seen by the public, so please do not include private information.
This web site is not operated by the Embassy and your comments and questions will not necessarily be seen by its staff. Please note that this is not a forum for broad debate about the foreign policy of Rwanda, and such topics will be deleted.