Rwandan flag Embassy of Rwanda in Bujumbura

Address24 Avenue de la République Démocratique du Congo
PB 400 Bujumbura
Burundi
Phonelocal: 2222.3255
international: +257.2222.3255
Faxlocal: 2222.3254
international: +257.2222.3254
Emailambabuja@minaffet.gov.rw

Comments on this Embassy

PRINCESS JOHN
Mon, 23 Apr 2018 16:15 EDT
MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI BURUNDI
Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 23 . Nimesoma katika chuo kikuu cha DAR ES SALAAM (UDSM). Nimesomea Lugha (B.A Language studies), nilisomea lugha mbili ambazo ni Kiswahili na Kifaransa , katika shahada ya kwanza.Nachukua fursa hii kuomba kufundisha somo la Kiswahili , kwasababu ninaweza kuwafundisha wageni lugha ya kiswahili.Niko tayari kwa kufanya kazi katika mazingira yeyote na kwa mshahara wowote.
Ninaamini mtanipatia hiyo fursa na ninaahidi kuwa Mwalimu bora katika ufundishaji wa somo la Kiswahili.
J.Princess
email.princesjohn06@gmail.com
+225675577886 /+225752694940
S.l.P 100154
GEORGE TAYAI BABU
Sat, 15 Jul 2017 16:16 EDT
-OMBI LA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI BURUNDI
Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 25,nimehitimu elimu ya chuo kikuu nchini tanzania katika chuo kikuu cha Tumaini Tawi la Dar es salaam mwaka 2017 katika ngazi ya shahada ya kwanza ya elimu katika masomo ya kiswahili na historia. ninaomba nafasi ya kufundisha somo la kiswahili nchini Burndi. niko tayari kufanya kazi katika mazingira yoyote na kwa mshahara wowote. nina imani kuwa ombi langu litapewa kipaumbele. asante sana na barikiwa.
barua pepe:georgetayai5@gmail.com
simu ya mkononi: 0746339774
DAVID MANYENYE
Fri, 14 Jul 2017 17:28 EDT
-OMBI LA KUFUNDISHA SOMO LA KISWAHILI NCHINI BURUNDI
Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 34,nimehitimu elimu ya chuo kikuu nchini tanzania katika chuo kikuu cha Tumaini Tawi la Dar es salaam mwaka 2017 katika ngazi ya shahada ya kwanza ya elimu katika masomo ya kiswahili na historia. ninaomba nafasi ya kufundisha somo la kiswahili nchini BURUNDI. niko tayari kufanya kazi katika mazingira yoyote na kwa mshahara wowote. nina imani kuwa ombi langu litapewa kipaumbele. asante sana na barikiwa.
barua pepe: dawoodman06@yahoo.com
davidmanyenye06@gmail.com
simu ya mkononi: 0717 063 623
0768 171 333
DOTTO GABRIEL MELANI
Sun, 30 Apr 2017 10:31 EDT
YAH: MAOMBI YA KAZI YA UALIMU WA KISWAHILI NCHINI BURUNDI
Husika na somo tajwa hapo juu kama linavyo jieleza. Mimi ni Kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 26 nimehitimu Shahada ya ualimu mwaka 2015 katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Dar es salaam (MUCE). Nachukua fursa hii kuomba nafasi ya ualimu wa kufundisha lugha ya kiswahili ndani ya nchi ya Rwanda kwa kuwa nina ujuzi na uelewa mkubwa juu ya lugha hii ya kiswahili ambayo katika nchi yangu ndio lugha kuu ya Taifa.
Asante

Wako mtiifu.
Dotto Gabriel Melani

Mawasiliano +255 753 084 780
email: dottomelan@gmail.com
Dr Muyango Emile Karama
Fri, 21 Apr 2017 07:21 EDT
Forgery of an identity document by Mr James Kabarebe(former general in the Rwandan army).
To all.

REMINDER.

We need any data supporting my findings in Burundi,in his ancestry(parents/grand-parents).
The identity of James Kabarebe had been rigged to the Rwandan citizenship by error done purposedly by the United Nations in Uganda in refugee camps.This is a case to process in Kacyiru Magistrate Court soon.He is a Burundian by origin.
Feedback must be sent to same court.


Dr Muyango Emile Karama
FRANCIS F KIMARIO
Wed, 25 Jan 2017 15:06 EST
MAOMBI YA KAZI
Ndugu, nimemaliza chuo cha Eckernforde Tanga University shahada yangu ya kwanza katika masomo ya Kiswahili na Geography. Naomba nafasi ya kufundisha Kiswahili nchini Burundi katika ngazi ya sekondari na vyuo. Mawasiliano ni +255 763909212 au franciskimario92@gmail.com Ahsante sana
DAVID S.RUSEHEYE
Mon, 14 Nov 2016 13:45 EST
MIMI NI MTANZANIA NINA MIAKA 30 NIMESOMA CHUO KIKUU CHA DODOMA BED-ARTS(KISWAHILI)NATAFUTA NAFASI YA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI BURUNDI KAMA KUNA VYUO AU TAASISI ZINAZOHITAJI MWL BORA TUWASILIANE KWA NAMBA 0768318301 AU druseheye@gmail.com
ZEMA HAMIS JAMAL
Sat, 30 Apr 2016 14:21 EDT
MAOMBI YA KAZI
Mimi mwl zema hamis jamal,ninaumri wa miaka 35,ninashahada ya ualimu(BED-KISWAHILI)mhitimu wa chuo kikuu cha tumaini makumira -Arusha Tanzania,ninaomba nafasi kufundisha somo la kiswahili katika shule na vyuo,nina uzoefu wa miaka kumi(10)katika kazi hii.
namba yng ya simu ni +255658144449.ahsante
Umutesi hamida
Sun, 31 Aug 2014 12:24 EDT
Lost my laisse pass
I am rwandan and i live here in buruni last Friday l lost my laissepasse when I was from obr i can't say i remember how I am worried and I don't know what to do if you could pliz help me I still have my I D though.
Md.Ehsanul siddique .PRAN RFL GROUP.BANGLADESH .
Tue, 18 Mar 2014 06:05 EDT
visa of Rwanda.
i have very good exprienxe to get the visa from Rwanada embassy Tanzania .
i am really happy with their services .

Post a comment on this page

We invite you to share your experiences with the Rwandan Embassy — obtaining visas and other services, locating the building, and so on. Your comments may be seen by the public, so please do not include private information.

Your name
Headline
Your message
Max 2000 characters
 

This web site is not operated by the Embassy and your comments and questions will not necessarily be seen by its staff. Please note that this is not a forum for broad debate about the foreign policy of Rwanda, and such topics will be deleted.