Rwandan embassies in nearby countries

» Burundi

» Ethiopia

» Kenya

» South Africa

» Uganda

Rwandan embassies worldwide

Other embassies and consulates in Dar es Salaam

Rwandan flag Embassy of Rwanda in Dar es Salaam

Address32, Ali Hassan Mwinyi Road
Dar es Salaam
Tanzania
PostalPO Box 2918
Phonelocal: (022) 213.0119
international: +255.22.213.0119
Faxlocal: (022) 211.5888
international: +255.22.211.5888
Emailambadsm@minaffet.gov.rw

Comments on this Embassy

Showing comments 1–10 of 537, newest first.
1 2 3 ... 52 53 54 > >>
pelegrine kigodi
Mon, 12 Feb 2018 09:39 EST
maombi ya kufundisha kiswahili nchini Rwanda
mimi ni mtanzania, mwanaume, ninaomba kazi ya kufundisha somo la kiswahili nchini Rwanda. ni mzoefu na mwandishi wa vitabu kwa shule za msingi kupitia bantu digitals co ltd. nimehitimu katika chuo kikuu cha dar es salaam mwaka 2005. nina shahada ya uzamili katika taaluma ya maendeleo.
mawasiliano +255 655716497, e- mail pele4kigodi@mail.com
CAPTAIN NYAMURASA MATAGE
Wed, 31 Jan 2018 23:39 EST
BUSINESS PARTNERS
We are looking for prominent partners who are capable to invest in container carrier ship operator in Lake Victoria. interested partners can contact me on the following contacts on +255 (0) 787 359 610, E-Mail: captmatage@yahoo.co.uk, captnyamurasa@gmail.com
Matwiga E Mwita
Fri, 19 Jan 2018 05:58 EST
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Husika na maada tajwa hapo juu. Mimi ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 28, niliyehitimu shahada ya kwanza ya ualimu katika chuo kikuu cha MTAKATIFU AGOSTINO CHA TANZANIA (SAUT) mwaka 2015, katika lugha ya KISWAHILI na JIOGRAFIA (GEOGRAPHY). Nitafurahi iwapo ombi langu litakubaliwa. m.e.mwita Matwiga E Mwita Mwombaji 0756505107
Silvester Mkinga
Fri, 15 Dec 2017 13:05 EST
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Husika na mada ya hapo juu,
Naitwa Silvester Mkinga,nina shahada ya kwanza ya sanaa na elimu katika masomo ya Kiswahili na Kifaransa kutoka Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji- Mbeya - Tanzania, mwaka 2009. Pia nina M.A.Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 2013.
Naomba nafasi ya kufundisha somo la Kiswahili katika nchi ya Rwanda.
Natumaini ombi langu likubaliwa.
Simu na. 0755317967
Email. smkinga9@gmail.com
Sr. Mariana S. Mrosso
Tue, 5 Dec 2017 01:36 EST
kufundisha somo la kiswahili Ujrerumani au Uingereza
MAOMBI YA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI
Mimi ni sista tena Mtanzania, niliye hitimu shahada ya kwanza na ya pili, mwenye uzoefu wa miaka mitatu ya ufundishaji wa somo la kiswahili katika sekondari ya Mt. Maria Goreti iliopo Moshi Kilimanjaro. ninaomba nafasi ya kufundisha somola lugha ya kiswahili katika nchi ya Ujerumani au Uingereza.kwa kuwa mimi ni kiongozi pia nitatoa maadili mema kwajamii husika.
Nina imani kubwa ombi langu litakubaliwa.
Sr. Mariana S. Mrosso
+2257552242071 au +225785699630
S. L. P 7360, MOSHI -KILIMANJARO.
Email marianamrosso@gmail.com
Deogratias hezekiel
Tue, 28 Nov 2017 02:11 EST
OMBI LA NAFASI KUFUNDISHA SOMOLA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Mimi ni mtanzania mwenye miaka 28 ninaishi mkoa kagera nchini Tanzania nimehitimu elimu ya shahada katika somo la Kiswahili niko tayali kufundisha somo la Kiswahili. Nimehitimu katika chuo cha Josiah kibira tawi la Tawi la tumaini makumira.
Natanguliza shukrani katika kazi.
No za simu ni.0787781704/0765170036.
David
Sun, 12 Nov 2017 04:40 EST
Maombi ya kufundisha Kiswahili nchini Rwanda
Mimi ni Mtanzania mwenye umri Wa miaka 31, naomba kuna kufundisha somo la kiswahili nchini kwako nimesoma kiswahili na historia chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) na nilimaliza mwaka 2014 nitafurahi kama nitapata nafasi hiyo kwani no nia na kusudi language kuchangia kuifanya lugha hii kuwa ya kimataifa na kukua zaidi
Steven Simon
Thu, 26 Oct 2017 06:51 EDT
YAH: OMBI LA KUFUNDISHA SOMO LA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Husika na mada tajwa hapo,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninategemea kupata shahada ya sanaa katika masomo ya GEOGRAFIA NA KISWAHILI mwishoni mwa mwaka huu katika chuo kikuu cha MTAKATIFU AGUSTINO tawi kuu Mwanza. Napenda sana kufundisha somo la Kiswahili nchini Rwanda. Hivyo naomba nafasi ya kufundisha somo la kiswahili nchini Rwanda kwa kuwa nina nguvu na maarifa ya kutosha juu ya somo husika.

Natanguliza shukrani zangu za dhati,halikadhalika natumaini kuwa ombi langu litakubaliwa.

Steven Simon
0752-552202
salufustarsteve@gmail.com
KAGIMBO, Abdulshakuur
Fri, 13 Oct 2017 12:52 EDT
MAOMBI YA KUFUNDISHA SOMO LA KISWAHILI RWANDA
Mimi muhitimu wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam mwaka 2014/2017 shahada ya elimu, katika masomo ya Kiswahili na Historia, naomba nafasi ya ufundishaji wa somo la Kiswahili katika nchi ya Rwanda.
Nipo tayari kufundisha somo hilo la lugha katika mazingira yote.
Natanguliza shukrani na ninaahidi kufanya kazi kwa juhudi zangu zote endapo ombi langu litakubalika.
Wako katika ukuzaji wa lugha ya ya Kiswahili
A. Kagimbo
Simu; 0755526064
Email; abdulshakuurkagimbo@gmail.com
Ali Suleiman Ali
Thu, 5 Oct 2017 00:20 EDT
YAH :MAOMBI YA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Tafadhali, naomba husika na kichwa cha habari kilichopo hapo juu. Mimi ni kijana shupavu mwenye umri wa miaka 25. Ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya sanaa katika masomo ya Kiswahili na Kiengereza katoka Chuo Kikuu cha Waislam cha Morogoro (MUM). Naomba nafasi ya kuisomesha kwa ufasaha lugha ya Kiswahili nchini Rwanda. Matarajio chanya ya nchi ya Rwanda juu ya lugha ya Kiswahili yatafikiwa kwani muhanga wa nafsi na moyo wangu juu ya hilo hauna kifani. Natumai ombi langu litapokelewa, kusikilizwa nakujibiwa. Asante sana. 0658745759

Post a comment on this page

We invite you to share your experiences with the Rwandan Embassy — obtaining visas and other services, locating the building, and so on. Your comments may be seen by the public, so please do not include private information.

Your name
Headline
Your message
Max 2000 characters
 

This web site is not operated by the Embassy and your comments and questions will not necessarily be seen by its staff. Please note that this is not a forum for broad debate about the foreign policy of Rwanda, and such topics will be deleted.