Rwandan flag Embassy of Rwanda in Dar es Salaam

Address32, Ali Hassan Mwinyi Road
Dar es Salaam
Tanzania
PostalPO Box 2918
Phonelocal: (022) 213.0119
international: +255.22.213.0119
Faxlocal: (022) 211.5888
international: +255.22.211.5888
Emailambadsm@minaffet.gov.rw

Comments on this Embassy

Steven Sumuni
Sat, 26 Aug 2017 04:48 EDT
NEEDY
I have finished my advanced level passing of division two of twelve points taking physics chemistry and biology. I am coming from poor family of single parent (mother).I need your help to study at any university in health faculty
phone:0757012047
e-mail:stevensumuni6 @gmail.comd
Stewart Wilhelpson Mrema
Thu, 24 Aug 2017 15:20 EDT
MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI RWANDA
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu cha Tumaini Makumira katika shahada ya elimu kwa masomo ya kiswahili na kingereza.
Ninaomba nafasi ya kufundisha lugha ya kiswahili nchini Rwanda kwani ninao uwezo mzuri na wa kutosha katika kuleta matokeo yanayokusudiwa.
Nina uhakika kuwa nikipewa nafasi hiyo nitaitumia vyema katika kuinua kiswahili nchini Rwanda na pengine pote.
Natanguliza shukrani nikiamini kuwa ombi langu ni la msingi na litapata kibali.
wako katika kuinua lugha ya kiswahili
S.w.c Mrema
mwalimu
simu:0763275115
barua pepe:mremastuart@gmail.com
Bahati Kamaghe
Sat, 19 Aug 2017 07:30 EDT
maombi ya kufundisha kiswahili.
husika na kichwa cha habari hapo juu. mimi ni kiajana niliyemaliza chuo cha Mpwapwa mwaka 2015. ambapo ninweza kufundisha pia na wanafunzi wasioona waliopo huko rwanda katika ngazi ya shule ya msingi. wako mtiifu BAHATI KAMAGHE. 0767669656 na bahatikamaghe@gmail.com
Naomi Mambosho
Sat, 19 Aug 2017 01:39 EDT
YAH:OMBI LA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa Kitanzania nliyehitimu Shahada ya elimu ya watu wazima na jamii(2017) katika Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, somo la kufundisha ni Kiswahili. Ninaomba nafasi ya kufundisha somo la Kiswahili katika nchi ya Rwanda kwa ngazi yoyote ile ya Elimu.
Ni matumaini yangu ombi langu litashughulikiwa.
Wako katika kazi,
Naomi Mambosho
+255765680167/+255679317085
mamboshonaomi@gmail.com
MSUVA WISLEN
Wed, 16 Aug 2017 16:01 EDT
YAH: OMBI LA NAFASI YA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Kwa majina naitwa Wislen Msuva. Ni kijana mwenye umri wa miaka 27, nimehitimu shahada ya awali ya sanaa na ualimu katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) mwaka 2015 katika masomo ya Kiswahili na Jiografia. Nipo tayari kufanya kazi nchini Rwanda kama mwalimu wa somo la Kiswahili. Natumai fursa ikipatikana nitafikiriwa zaidi

Mawasiliano :0759930143
0713710740
E mail wislenmsuva@gmail.com
ALATORY MWINGIRA
Fri, 11 Aug 2017 06:45 EDT
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI RWANDA.
Tafadhari husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni muhitimu wa Chuo kukuu Cha kikatoliki cha Ruaha Iringa Tanzania mwaka 2017 katika shahada ya kwanza ya elimu katika masomo ya kiswahili na historia. Naomba nafasi ya kufindisha lugha ya kiswahili nchini Rwanda ili kuinua na kuendeleza taaluma nchini humo.Niko tayali kufanya kazi katika mazingira yoyote na hali yoyote, natumaini kuwa maombi Yangu yatagafanyiwa kazi. Mawasiliano ni simu:0746079871/0759502208. Batua pepe:urithmwingira@gmail.com
Jackline Revocatus Malekela
Wed, 2 Aug 2017 10:09 EDT
YAH:OMBI LA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI RWANDA.
Rejea mada tajwa hapo juu: Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 26, nimehitimu chuo kikuu cha Dar-es-salaam mwaka 2015, katika ngazi ya shahada ya kwanza ya elimu,katika masomo ya Geografia na Kiswahili. Ninaomba nafasi yakufundisha somo hili la kiswahili nchini Rwanda. Ninaimani ombi langu litakubalika. Mawasiliano:baruapepe jmalekela36@gmail.com, Simu ya mkononi 0764576124
Musalege Saimon
Sat, 29 Jul 2017 00:19 EDT
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Husika na kichwa hapo juu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 niliyehitimu shahada ya sanaa katika somo la kiswahili, Nimehitimu shahada yangu katika chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) mwaka 2017. Hivyo basi naomba nafasi ya kuitumikia nchi yako, Nipo tayari kuitumikia nchi ya Rwanda katika nyanja ya Elimu. Nina matumaini ombi langu litashughulikiwa na Natanguliza shukrani zangu za dhati endapo ombi langu litashughulikiwa katika ofisi yako.
Kwa mawasiliano
0719174326/0746362774
Barua pepe symonmusalege@gmail.com
LUCY JOSEPH
Thu, 27 Jul 2017 05:03 EDT
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI RWANDA
Rejea mada tajwa hapo juu, mimi Lucy Joseph ni Mtanzania halisi nina umri wa miaka 27,ni muhitimu wa shahada ya sanaa kwa masomo ya kiswahili na historia katika chuo kikuu cha Iringa mwaka 2015.
ninaomba fursa ya kufundisha lugha ya kiswahili nchini Rwanda,kwani nipo tayari kufundisha somo la kiswahili katika mazingira yoyote yale kwa kuwa ninalimudu.
Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litachukuliwa maanani.
Wako katika ujenzi wa Taifa
l.joseph
LUCY JOSEPH.
mawasiliano; 0769226599,0716226599.
email: adayolucy@gmail.com
AGNES CHARLES NGAILO
Thu, 20 Jul 2017 15:20 EDT
YAH:MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI RWANDA
Rejea Maada tajwa hapo juu,Mimi in muhitimu was chuo Kikuu cha Kishiriki cha Mtakatifu Agustino Mtwara(StellaMaris) kwa masomo ya kiswahili na jiografia. Hivyo ninaomba nafasi ya kufundisha lugha ya kiswahili.
Simu No:0763369446
Baruapepe:ngailoagnes@gmail.com

Post a comment on this page

We invite you to share your experiences with the Rwandan Embassy — obtaining visas and other services, locating the building, and so on. Your comments may be seen by the public, so please do not include private information.

Your name
Headline
Your message
Max 2000 characters
 

This web site is not operated by the Embassy and your comments and questions will not necessarily be seen by its staff. Please note that this is not a forum for broad debate about the foreign policy of Rwanda, and such topics will be deleted.