Rwandan flag Embassy of Rwanda in Dar es Salaam

Address32, Ali Hassan Mwinyi Road
Dar es Salaam
Tanzania
PostalPO Box 2918
Phonelocal: (022) 213.0119
international: +255.22.213.0119
Faxlocal: (022) 211.5888
international: +255.22.211.5888
Emailambadsm@minaffet.gov.rw

Comments on this Embassy

Jonace Kahwa
Sat, 27 Oct 2018 06:27 EDT
MAOMBI YA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NJE YA NCHI
Rejelea kichwa cha mada tajwa hapo juu.Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 36,nina shahada ya elimu niliyotunukiwa katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania katika masomo ya Kiswahili na Historia.Ninaomba kuendeleza juhudi za kuikuza na kuieneza lugha ya Kiswahili kokote nje ya nchi.Uzoefu wangu ni wa kutosha katika kuifundisha lugha hii.Naomba ombi langu lisitiwe kapuni.
Ahsante
Simu 0764713502
BERTHA J. KYARA
Wed, 24 Oct 2018 13:59 EDT
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI RWANDA.
Rejea mada tajwa hapo juu. Mimi ni Mtanzania, msichana mwenye umri wa miaka 25.Nimehitimu shahada ya Ualimu katika Chuo Kikuu cha TUMAINI MAKUMIRA kilichopo mkoani Arusha mwaka 2018.Nimemakinikia katika masomo ya lugha ya Kiswahili na Kingereza na nipo tayari kufundisha somo la Kiswahili nchini Rwanda na kwingineko ili kukuza lugha hii adhimu. Nategemea majibu chanya kutoka kwako. Natanguliza shukurani za dhati. Mawasiliano; +255 766 101 663
Email;kyaramanka@gmail.com
THEONAS B. HEKIMA
Thu, 18 Oct 2018 14:34 EDT
YAH; MAOMBI YA UFUNDISHAJI KISWAHILI NCHINI RWANDA NA NCHI NYINGINE
Mimi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 27, nimehitimu shahada katika chuo kikuu cha mtakatifu AUGOSTIN tawi la JORDAN morogoro mwaka 2015, ni mwalimu wa somo la Kisahili na Historia na ninaweledi wa somo hilo la kiswahili, nzuri zaidi nina uelewa wa lugha ya KINYARWANDA. Hivyo ntafurahi sana kufundisha kiswahili Rwanda na kwingineko. Natanguliza Shukran.
Mawasiliano; +255673416010
Email; Hekimatheonas@gmail.Com
JACKSON S. MSUKA
Sun, 7 Oct 2018 02:57 EDT
YAH: MAOMBI YA KUFUNDISHA SOMO LA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Rejea mada tajwa hapo juu, mimi ni Mtanzania, kijana mwenye umri wa miaka 26, nimehitimu shahada ya ualimu kwa masomo ya kiswahili na historia katika chuo kikuu cha Tumaini Makumira Arusha. Nipo tayali kufundisha kiswahili Nchini Rwanda. Natumaini kuwa ombi langu litafanikiwa.
Sim: 0762397073
Baruapepe: jacksonmsuka48@gemail.com
maholangumbi chale
Sat, 6 Oct 2018 05:55 EDT
YAH: OMBI LA KuFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI RWANDA NA NYINGINE YOYOTE DUNIANI
Rejea mada tajwa hapo juu Mimi nimhitimu Wa shahada ya uzamili chuo kikuu cha kimataifa kampala nchini uganda .Nina fundisha masomo ya kiswahili na jiografia nanimekuwa na ufaulu mzuri kwa somo hilo la kiswahili. Natumaini ombi langu litakubaliwa. Mawasiliano:+225717019495 E-mail: mchale261@gmail.com
MADARAKA JOHN
Thu, 4 Oct 2018 06:37 EDT
YAH OMBI YA KUFUNDISHA SOMO LA KISWAHILI NJE YA NCHI
Rejea kichwa cha habari hapo juu .mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 30 nimehitimu shahada ya ualimu katika chuo kikuu cha mtakatifu AGOSTINO MWANZA Mwaka 2017.Nina weledi mkubwa katika kufundisha somo la kiswahili,niko tayari kufundisha Nchi yoyote.Nimatumaini yangu kuwa ombi langu litafanikiwa.wako katika ujenzi na ukuzaji wa kiswahili DUNIAN
Mawasiliano 0742769461
Email madarakaj3@gmail.com
JIYABO BULEGEA MAGANGA
Mon, 1 Oct 2018 17:07 EDT
YAH: OMBI LA KuFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI RWANDA NA NYINGINE YOYOTE DUNIANI
Rejea mada tajwa hapo juu Mimi nimhitimu Wa shahada ya kwanza ya ualimu kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam tawi la mwalimu Nyerere.Nina fundisha masomo ya kiswahili na kiingereza nanimekuwa na ufaulu mzuri kwa somo hilo la kiswahili. Natumaini ombi langu litakubaliwa. Mawasiliano:+225-0743-075980 E-mail: jiyabom152@gmail.com
ALBERT SEBASTIAN
Sun, 30 Sep 2018 11:23 EDT
RE; APPLICATION OF TEACHING KISWAHILI IN RWANDA
Kindly,refer to the captioned heading above. I would like to work in Rwanda as a teacher of kiswahili language. Iam a male from Tanzania with an age of 34 years old. I graduated from the university of Dodoma(UDOM)in 2011, taking bachelor of education in art(bed art) with specialization in kiswahili plus other educational courses like teaching methodology. I have enough experience of teaching kiswahili as a subject for number of years and at different level from primary level to secondary level.It is my anticipation, this request will be taken into consideration. My contact;+255753430046, email;Sebastianalbert@ymail.com
Eligius Ponsian,
Sat, 29 Sep 2018 07:08 EDT
RE: TO APPLICATION OF TEACHING KISWAHILI LANGUAGE IN RWANDA
I am a Tanzanian citizen, with 26 years old. II complicated my first degree from the university of Dodoma concerning with bachelor of Education in Arts (BED ARTS). During my studies, my Major subject was Kiswahili and my minor subject was Geography. I performed well kiswahili subject during o- level exams, since I scored an "A". In advanced level, I scored B + of kiswahili subject. Also I trained the special course of the method of teaching kiswahili to foreigners at the university of Dodoma. I have experience of teaching kiswahili for three years. I hope that once I will get this chance I will make sure most of people in Rwanda and Africa are capable in speaking and writing kiswahili well.
Phone no:+255769720410
Email:eligiusponsian@gmail.com.
P.o.box: 77432, dar es salaam. Tanzania
Hamisi Jumapili
Sat, 29 Sep 2018 01:59 EDT
MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI NJE YA NCHI
Rejea mada tajwa hapo juu.Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 34, elimu yangu ni shahada ya elimu niliyotunukiwa katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo-Tabora katika masomo ya Kiswahili na Kiingereza.Naomba kufundisha na kukitangaza Kiswahili kokote nje ya nchi. Nina uzoefu wa kutosha katika somo hili. Natumai ombi langu litashughulikiwa.
Ahsante.

Simu:0623985721

Baruapepe:hamisimambo55@gmail.com

Post a comment on this page

We invite you to share your experiences with the Rwandan Embassy — obtaining visas and other services, locating the building, and so on. Your comments may be seen by the public, so please do not include private information.

Your name
Headline
Your message
Max 2000 characters
 

This web site is not operated by the Embassy and your comments and questions will not necessarily be seen by its staff. Please note that this is not a forum for broad debate about the foreign policy of Rwanda, and such topics will be deleted.