Rwandan flag Embassy of Rwanda in Dar es Salaam

Address32, Ali Hassan Mwinyi Road
Dar es Salaam
Tanzania
PostalPO Box 2918
Phonelocal: (022) 213.0119
international: +255.22.213.0119
Faxlocal: (022) 211.5888
international: +255.22.211.5888
Emailambadsm@minaffet.gov.rw

Comments on this Embassy

AMOS WILLIAM K
Wed, 19 Jul 2017 03:03 EDT
Mimi mhitimu katika chuo kikuu kishuriki cha mtakatifu agustine Stela maris mtwara. Ni mwl wa ENGLISH LANGUAGE AND KISWAHILI ninaomba kazi ya kufundsha katika nchi ya Rwanda. Nina uzoefu wa kufundisha lugha.
Mawasiliano
0718542394.
amossamaka@gmail.com
ESTOMIH CHAULA
Tue, 18 Jul 2017 03:31 EDT
YAH:MAOMBI YA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI
Tafadhari rejea mada tajwa hapo juu Mimi ni mvulana mwenye umri Wa miaka 28 niliehitimu shahada ya kwanza katika Chuo cha mtakatifu agustino tawi la rucu(ruaha university) mwaka 2013 katika masomo ya kiswahili na jiografia hivyo ninauzoefu Wa kutosha na nitafanya vizuri katika kufundisha lugha ya kiswahili endapo nitapata nafasi kufundisha popote duniani nitashukuru sana kama nitakubaliwa ombi langu. Mawasiliano 0765476333.
Email mangoliirene@gmail.com
Sijaona M. John
Mon, 17 Jul 2017 03:35 EDT
YAH. MAOMBI YA NAFASI YA KUFUNDISHA KISWAHILI.
Rejea Mada Tajwa Hapo Juu Mimi Sijaona M. John Kijana Mwenye Miaka 29 Ninaomba Nafasi Ya Kazi Kufundisha Kiswahili Nchini Rwanda Ni Mhitimu Ngazi Ya Shahada Katika Elimu Hasa Kiswahili Na Kiingereza Kutoka Chuo Kikukuu Kishiriki Cha Mtakatifu Augustini Tawi La Mtwara. Niko Tayari Muda Wowote Hata Kama Nitaitwa Kwenye Mahojiano. Natumaini Ombi Langu Litakubaliwa.
Wako Mtiifu,
Sijaona M. John
Mawasiliano, 0683735774 & 0718200604
email: magembesimajo@gmail.com
johnsijaona@yahoo.com
SARAH CLEMENT
Mon, 17 Jul 2017 00:22 EDT
YAH:OMBI LA KUFUNDISHA SOMO LA KISWAHILI NCHINI RWANDA.
Tafadhali, rejea kichwa cha habari hapo juu.mimi ni muhitimu wa chuo kikuu cha mtakatifu AUGUSTINE TAWI LA TABORA,KATIKA taaluma ya ualimu wa masomo ya kiswahili na kiingeleza. naomba nafasi ya kufundisha somo la kiswahili Nchini Rwanda.Natumaini ombi langu litafanyiwa kazi
wako katika kazi,
Sarah clement
0758223284/0673738099
sarahclement45@gmail.com
TAYAI GEORGE BABU
Sat, 15 Jul 2017 16:13 EDT
YAH: OMBI LA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 25,nimehitimu elimu ya chuo kikuu nchini tanzania katika chuo kikuu cha Tumaini Tawi la Dar es salaam mwaka 2017 katika ngazi ya shahada ya kwanza ya elimu katika masomo ya kiswahili na historia. ninaomba nafasi ya kufundisha somo la kiswahili nchini Rwanda. niko tayari kufanya kazi katika mazingira yoyote na kwa mshahara wowote. nina imani kuwa ombi langu litapewa kipaumbele. asante sana na barikiwa.
barua pepe:georgetayai5@gmail.com
simu ya mkononi: 0746339774
DAVID MANYENYE
Fri, 14 Jul 2017 17:25 EDT
YAH: OMBI LA KUFUNDISHA SOMO LA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 34,nimehitimu elimu ya chuo kikuu nchini tanzania katika chuo kikuu cha Tumaini Tawi la Dar es salaam mwaka 2017 katika ngazi ya shahada ya kwanza ya elimu katika masomo ya kiswahili na historia. ninaomba nafasi ya kufundisha somo la kiswahili nchini Rwanda. niko tayari kufanya kazi katika mazingira yoyote na kwa mshahara wowote. nina imani kuwa ombi langu litapewa kipaumbele. asante sana na barikiwa.
barua pepe: dawoodman06@yahoo.com
davidmanyenye06@gmail.com
simu ya mkononi: 0717 063 623
0768 171 333
charles marco
Thu, 13 Jul 2017 04:07 EDT
YAH:OMBI LA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI RWANDA.
Rejea mada tajwa hapo juu.Mimi Charles Marco ni kijana wa miaka 32 ya kuzaliwa,nimehitimu elimu ya chuo kikuu cha Tumaini makumira Arusha Tanzania kwa masomo ya Kiswahili na Kifaransa 2015.Niko tayari kutumikia nafasi nitakayo pewa.Nitashukuru ombi langu likipitishwa.Mawasiliano: 0765020483 na 0782755418.Email:marcocharles10@gmail.com
Neema B Kitende
Tue, 11 Jul 2017 02:15 EDT
YAH MAOMBI YA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni mwalimu muhitimu wa shahada ya sanaa katika somo la kiswahili na history katika chuo cha Teofilo kisanji mwaka 2015. naomba nafasi ya kufundisha lugha ya kiswahili nchini Rwanda, nina uzoefu wa kufundisha lugha hii na ninalimudu vizuri na nipo teyari kufundisha somo hili katika hali na mazingira yoyote . nitashukuru kama ombi langu litakubaliwa mawasiliano yangu no.0758153016/0676053014. au baruapepe neykitende@gmail.com
Emanuel Michael
Sun, 9 Jul 2017 17:44 EDT
YAH: OMBI LA KUFUNDISHA KISWAHILI.
Mimmi ni muhitimu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (St. Augustine University of Tanzania). Nimesoma Shahada ya sanaa na Elimu (Bachelor of Arts With Education) katika masomo ya Kiswahili na Historia, Hivyo nina uzoefu pia wa kutosha kufundisha Lugha hii mahala popote duniani.

MAWASILIANO
Mobile number - 0758 018 597
0658 495 928
Email - emmanuelmichael630@gmail.com.
asante.
mariam Jacob
Sun, 9 Jul 2017 17:34 EDT
p.o.box 1192 mobile 0768557540
Yah.
Maombi ya kufundisha kiswahili Rwanda na sudan
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu cha Jordan katika shahada ya uwalim wa kiswahili na english. Ni maombi yangu kuomba nafasi ya kufundisha kiswahili Rwanda na Sudan

Post a comment on this page

We invite you to share your experiences with the Rwandan Embassy — obtaining visas and other services, locating the building, and so on. Your comments may be seen by the public, so please do not include private information.

Your name
Headline
Your message
Max 2000 characters
 

This web site is not operated by the Embassy and your comments and questions will not necessarily be seen by its staff. Please note that this is not a forum for broad debate about the foreign policy of Rwanda, and such topics will be deleted.