Rwandan flag Embassy of Rwanda in Dar es Salaam

Address32, Ali Hassan Mwinyi Road
Dar es Salaam
Tanzania
PostalPO Box 2918
Phonelocal: (022) 213.0119
international: +255.22.213.0119
Faxlocal: (022) 211.5888
international: +255.22.211.5888
Emailambadsm@minaffet.gov.rw

Comments on this Embassy

Milton Maduhu Tunge
Sun, 6 Sep 2015 23:30 EDT
OMBI LA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI RWANDA
Naomba nafasi ya kufundisha Kiswahili nchini Rwanda. Nimehitimu Shahada ya kwanza ya Isimu katika Kiswahili (BA Kiswahili Linguistics) UDOM kwa mawasiliano 0762161067
Talila Abdalah
Sat, 5 Sep 2015 02:21 EDT
YAH: OMBI LA KUFUNDISHA KISWAHILI NCHINI MWAKO.
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 24. Nimehitimu shahada yangu ya ualimu katika chuo kikuu cha Dar es Salaam (MUCE) 2015, katika masomo ya Kiswahili na Kiingereza. Naomba nafasi ya kufundisha Somo la Kiswahili nchini mwako. Hii itakuwa nyenzo ya kupanua wigo wa lugha ya Kiswahili nchini Rwanda.
Natumaini kuwa ombi langu litazingatiwa.
Ahsante.
Talila Abdalah
0655075759
0767075759
Barua pepe: ph.m.talila@gmail.com
JOHNBOSCO NGONYANI
Wed, 19 Aug 2015 00:51 EDT
YAH. MAOMBI YA KUFUNDISHA SOMO LA KISWAHILI
Kichwa cha hapo juu chahusika, ninayoheshima kuomba nafasi ya kufundisha kiswahili katika shule za sekondari na vyuo nchini Rwanda. Kwa uzoefu nilionao katika kufundisha somo hili unanifanya niutoe na kushirikiana na wanyarwanda katika kukieneza kiswahili. Pia ninaongea lugha mbalimbali za kimataifa kiwamo Kiswahili,Kiingereza na Kifaransa.
Mawasiliano. 0672781933 na ngonyanijohnbosco@gmail.com
JOHNBOSCO NGONYANI
Wed, 19 Aug 2015 00:35 EDT
RE. APPLICATION FOR A TEACHING VACANCY
I am applying for a teaching job. I am a Tanzanian graduated in bachelor of education from the university of Arusha majoring in Kiswahili and minoring in English. I am also speaking Kiswahili, English and French.
Please contact me on 0782170518 and ngonyanijohnbosco@gmail.com
Benedicto Hyasinth
Mon, 27 Jul 2015 05:40 EDT
Nafasi ya kufundisha Kiswahili Rwanda
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu kishiriki cha mtakatifu Augustino Tanzania(AMUCTA) cha Tabora. Nimehitimu katika shahada ya sanaa na elimu(BAED) katika masomo ya Jografia na Kiswahili. Naomba nafasi hii nami nitoe ujuzi wangu wa lugha ya kiswahili kwa wahitaji wa Rwanda katika ngazi za elimu ya msingi ,sekondary na vyuo. Asante.
Mawasiliano: +255759375007/+255784594863
Email: benedictokashaija@gmail.com
audax obed
Fri, 10 Jul 2015 02:50 EDT
naomba kufundisha kiswahili
Husika na kichwa cha Habari hapo juu. Mimi ni mvulana. Mwenye umri wa miaka 25 ni mtanzania niliyehitimu elimu ya chuo kikuu cha Saint auguustine mwanza (SAUT) mwaka 2015 nimemaliza shahada ya Sanaa na elimu katika masomo ya kiswahili na geografia natafuta kazi ya kufundisha kipindi cha kiswahili
Mawasiliano 0766165192
Email:audaxoberd@gmail. come
MAGNUS MUGISHA MARTINE
Mon, 15 Jun 2015 17:38 EDT
MAOMBI YA KUFUNDISHA KISWAHILI.
Rejea mada tajwa hapo juu.Mimi ni muhitimu wa chuo Kikuyu cha Dar es salaam katika Masomo ya kiswahili na kiingereza.Nina uzoefu katika kufundisha masomo haya kwa miaka 4 sasa.naweza kufanya kazi sehemu yoyote.nitafurahi endapo ombi language litakubaliwa.e mail yangu ni rubheje2005@yahoo.com.mobile 0766366189.
Haule Jacob
Fri, 12 Jun 2015 19:56 EDT
MAOMBI YA KUOMBA KUFUNDISHA KISWAHILI RWANDA
Mimi ni mtanzania kwa kuzaliwa(25),kwa sasa ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Dar es salaam.Natarajia mwezi wa saba mwakani kumaliza masomo. Baada ya hapo naomba kupewa nafasi ya kufundisha kiswahili kwani ndilo moja ya masomo yangu ya kufundishia na nilishawahi kuwa na ndoto ya kuja kufanya hivyo, nitafurahi sana kupata nafasi hiyo.Barua pepe yangu ni
haulejacob@yahoo.com. 0758977510
JOHN NGUNJIRI
Thu, 30 Apr 2015 07:43 EDT
KISWAHILI TEACHER
I am John,a graduate from mount kenya university Thika-Kenya. My wish is to secure a slot as a teacher in any High School in Rwanda. please assit. my e-mail is jngunjiri09@gmail.com
WILLIAM J. DAMUWAN
Sat, 11 Apr 2015 01:53 EDT
AN APPLICATION FOR TEACHING KISWAHILI
I am a Tanzanian citizen with 35 years old. I completed my first degree in Kiswahili and History at University of Dar es Salaam. There after i joined the same University for further education and later awarded a certificate of Master of education in Arts.Now i would like to ask your embassy to consider my application so that i can use my potentials for the attainment your country's goals.
My email address is: williamdamuwan@yahoo.co.uk

Post a comment on this page

We invite you to share your experiences with the Rwandan Embassy — obtaining visas and other services, locating the building, and so on. Your comments may be seen by the public, so please do not include private information.

Your name
Headline
Your message
Max 2000 characters
 

This web site is not operated by the Embassy and your comments and questions will not necessarily be seen by its staff. Please note that this is not a forum for broad debate about the foreign policy of Rwanda, and such topics will be deleted.