Tanzanian flag Embassy of Tanzania in Muscat

AddressWAY NO. 2135
BULDING NO. 1798
MADINAT AL SULTAN
QABOOS STREET
AL-KHUWAIR
Muscat
Oman
PostalPO Box 1170, POST CODE 133
Phonelocal: 2460.1174
international: +968.2460.1174
Faxlocal: 2460.4425
international: +968.2460.4425
Emailtanmuscat@omantel.net.om

Comments on this Embassy

SAIF AL HARTHY
Wed, 14 Nov 2012 05:15 EST
NDUGU RASHID TULIA ZANZIBAR
Ndugu Rashid tulia hapo hapo nyumbani Zanzibar usijitafutue makubwa ya kutafuta kazi Omani aw nichini popote warabuni, wenyewe wanahangaika, kama unataka kunyanyaswa nenda Oman. Ukipata Laki moja Zanzibar bora kuliko laku Ishirini Oman.
Kila la kheri wa bilahi atawfiq
MAFTAH
Wed, 3 Oct 2012 02:48 EDT
YAH;FATUMA OMARY ANAYEFANYA KAZI KWA ZAHOOR ++96897854244HUKO RUSTAQ
ALIENDA OMAN KWA LENGO LA KUFANYA KAZI LAKINI HAKUJUWA NI KAZI GANI,ALIPOFIKA AKASINISHWA MKATABA WA KAZI ZA NDANI,FATUMA ANADAI HANA AMANI ANANYANYANYASWA ANATAMANI KURUDI TANZANIA LAKINI WANAMGOMEA JE KUNA HAKI YA KIBINADAMU INATENDEKA HAPO KWA ZAHOOR?MIMI NIKIWA KAMA MMOJA WA WAZAZI WAKE NASHAURI FATUMA+96894096518 ARUDISHWE KULIKO AFANYA KAZI AMBAYO ANAPATA MATESO.
mohd Ahmed
Mon, 13 Aug 2012 10:01 EDT
Renewal of passport of Ethiopian
Hi

Do you know if Ethiopian citizens can arrange for Passport Renewal in Oman through Tanzanian Embassy or not?
As Oman has no Ethiopian Embassy.

Please help.
Thanks
Abdi
Tue, 31 Jul 2012 17:04 EDT
AM I ELIGIBLE FOR TANZANIAN CITIZENSHIP?
I have a question, I want to know if I am eligible for Tanzanian citizenship. My father was born in Tanzania and he was a Tanzanian citizen,but my mother is French. My father renounced his Tanzanian citizenship before I was born and he became a French national. I want to know if I am eligible for Tanzanian Citizenship. I have visited the country many times and I love it. I am willing to give up and renounce my French Citizenship to become a Tanzanian citizen. I will be very greatful if someone could give me an answer, thanks. I am 31 years old and I was born in France.
SALEH AL MAHROOQI
Sun, 24 Jun 2012 01:49 EDT
Online Visa
NAUNGA MKONO KWA ALIYOYAANDIKA NDUGU MOHAMMED HAPO JUU KUHUSU MAOMBI YA VISA KUPITIA MTANDAO (ONLINE)
MOHAMMED
Sun, 24 Jun 2012 01:45 EDT
ONLINE VISA APPLICATION
FANYENI NJIA KAMA NCHI NYINGINE MTU AWEZE KUFANYA VISA ONLINE ILI KURAHISISHA MSONGAMANO, MTU AWEZE KUOMBA NA KULIPIA ONLINE NA AKAWEZA KU PRINT MWENYEWE
Suleiman N Y
Mon, 2 Apr 2012 07:04 EDT
service
I think the TZ embassy is doing a good job. What else do you expect from a political office? the staff are helpful and I undesrtand most applications get cleared by the next day, that's quite good, while exceptional request get special attention. I was at the embassy this morning and noted a help to clear someone's application on exceptional basis because of sickness. It also happened the Ambassodor came in, and he showed his respect and greeted cheerfully all around. Improvement to be done are in these ares:- 1) reduce the lengthy form when applying to bring a maid from TZ. make a sigle paper and it can cover all that you need to protect your national. Also get the papers printed in better quality. 2) apply some posters at the reception area to sell TZ as an attractive tourist destination. Get some magazines, brochures, etc.. Do not assume that all those who come to this office are originally from TZs, even these one may need to know better. Promote tourism.
qamar
Thu, 26 Jan 2012 03:32 EST
visa
i here in oman for working visa and im looking visa for tanzanian ...pls how its prosible....
Mtanzania halali
Fri, 13 Jan 2012 04:02 EST
kikwetu umetea samaki aliyechina
kikwete umechagua samaki kibua kwani huyu salehe hata uko dubai hakufanya jambo la maana sana na kama umempa full ambassador basi nadhani uko watanzania waishio oman
watakiona cha moto
MB.GASH
Sat, 31 Dec 2011 03:37 EST
SIJAPATA MAJIBU
NI MTANZANIA NILiyepata tatizizo mwaka wajana mwezi wa october.baada ya kubainika yakuwa sikuwa na tatizo niliruhusiwa kurudi kwetu.nami nikaacha tatizo la kudhulumiwa haki zangu zikiwamo pesa .zilizoibiwa na askari wa oman.katika ofisi ya ubalozi vp?sijapata maelezo yoyote?au asiyekuwapo ...........

Post a comment on this page

We invite you to share your experiences with the Tanzanian Embassy — obtaining visas and other services, locating the building, and so on. Your comments may be seen by the public, so please do not include private information.

Your name
Headline
Your message
Max 2000 characters
 

This web site is not operated by the Embassy and your comments and questions will not necessarily be seen by its staff. Please note that this is not a forum for broad debate about the foreign policy of Tanzania, and such topics will be deleted.