Embassy of Tanzania in Muscat
Address | WAY NO. 2135 BULDING NO. 1798 MADINAT AL SULTAN QABOOS STREET AL-KHUWAIR Muscat Oman |
---|---|
Postal | PO Box 1170, POST CODE 133 |
Phone | local: international: |
Fax | local: international: |
tanmuscat@ |
Address | WAY NO. 2135 BULDING NO. 1798 MADINAT AL SULTAN QABOOS STREET AL-KHUWAIR Muscat Oman |
---|---|
Postal | PO Box 1170, POST CODE 133 |
Phone | local: international: |
Fax | local: international: |
tanmuscat@ |
Comments on this Embassy
My friend and I are planning to travel to Zanzibar from Muscat end of March. Could you please send directions on how to get to your Embassy. Would you also be able to tell me how long it would take to get a visa.
Thank you
Kind regards
Wendy Woolner
NDUGU WATANZANIA WENZANGU TUJIFUNZE KUSOMA MAELEKEZO NA KUYAELEWA. UKISOMA CHINI YA KIBOKSI UNACHOANDIKA MAONI YAKO IMEANDIKWA KABISA WEB SITE HII SI YA UBALOZI WA TANZANIA HIVYO BASI HATA MAONI UNAYOYASEMA HAYAWEZI KUUFIKIA UBALOZI NDIO MAANA MNAONA HAMNA MAJIBU KWA MAONI MNAYOYATOA. UKIWA NA KERO YEYOTE KUHUSU UBALOZI TUMA KWENYE EMAIL: tamuscat@omantel.net.om AU namba za simu +968 24601174 au Fax +968 24604425 hizo ndio address za ubalozi, tuma maoni yako ukitaja jina kamili na unapatikanaje ili majibu yakufikie
what business can I IMPORT FROM TANZANIA TO OMAN?
Mimi ni msichana nina umri wa miaka 21 naishi Dodoma Tanzania. Natafuta kazi za ndani ili baadae nijiendeleze kielimu elimu yangu ni kidato cha nne. Naomba mnisaidie ndugu zangu. Namba yangu ni +255657444458. Ahsnten.
Mimi ni msichana nina miaka 21 natafuta kazi ya ndani
Mimi ni mtanzania nafanya kazi hapa Oman ktk comp,tatizo la watanzania wengi tunaponzwa na mdomo,hatutaki kufanya kazi vzr,tunawajibu vibaya walio tuajiri.Nawapo watu wengine huenda hawatendei vzr wafanyakazi wao,hawawapi ata off kama wahindi,waphilipine wanapata off kila ijumaa.
Nnna voona mimi watu wengi humu kwa mujibu ya maombi yao wanataraji wapate jawabu kutoka ubalozini. Lakini kinacho staajabisha sikuona hata ombi moje lilopata jawabu. Jee mtandao huu ni kupiga domo kama baraza la mkahawa?
I would appreciate to see Presidend Kikwete's feedback is posted on the WEB if it is possible. Owing to the demands of my work schedules in the desert I cannot attend any of the embassy meetings that have been announced this month. I would appreciate if an alternate solution to get feedback in writing is made if it cannot be posted.
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka ishirini niko hapa oma nafanya kazi za ndani lakini naomba msaada wenu kama naweza kupata kazi nyingine kwa hapa muscat tofauti na hii niliyo nayo sasa elimu yangu ni sekondari kidato ncha nne, nazungumza kiingeza na kiswahili..naba yangu ya simu ni +96895184648 na Mail yangu ni may001@yahoo.com nitashukuru kama nitafanikiwa.
Your Highness the Ambassador.
Can you please keep us clear on this long pending issue. When will the Tanzanian Gov finilise these contract so we could alowed to hire Domestict Helpers from TZ?
Thanks... Said.
Post a comment on this page
We invite you to share your experiences with the Tanzanian Embassy — obtaining visas and other services, locating the building, and so on. Your comments may be seen by the public, so please do not include private information.
This web site is not operated by the Embassy and your comments and questions will not necessarily be seen by its staff. Please note that this is not a forum for broad debate about the foreign policy of Tanzania, and such topics will be deleted.