Embassy of Rwanda in Dar es Salaam
Address | 32, Ali Hassan Mwinyi Road Dar es Salaam Tanzania |
---|---|
Postal | PO Box 2918 |
Phone | local: international: |
Fax | local: international: |
ambadsm@ |
Address | 32, Ali Hassan Mwinyi Road Dar es Salaam Tanzania |
---|---|
Postal | PO Box 2918 |
Phone | local: international: |
Fax | local: international: |
ambadsm@ |
Comments on this Embassy
I am a Tanzanian i hold bachelor degree in Civil and Irrigation at Arusha Technical College. I'm a Female. I'm here, by requesting scholarship to pursue master's degree on Engineering project Management.
I hope you will put me in your consideration
contact
email; saramaugo584@gmail.com
phone; +255758451163
Rejea mada tajwa hapo juu. Mimi ni mtanzania niliyehitimu shahada ya kwanza ya ualimu kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam. Ninafundisha masomo ya Kiswahili na Historia. Ninaweledi mkubwa katika kufundisha somo la Kiswahili na nikotayari kufundisha somo la Kiswahili nchini Rwanda au nje ya nchi.Ninatumaini ombi langu litajibiwa. Mawasiliano +255755176010 Email anthonykihwaga0@gmail.com
I am a Tanzanian, i hold bachelor degree in Computer Science at University of Dodoma (First Year With 3.5 GPA). I'm a Male. I'm hereby requesting scholarship to continue with my Second & Third year of studies.
I hope you will put me in your consideration
contact
email; octavian107@gmail.com
phone; +255687582363
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu. Mimi ni mtanzania mwenye uwezo wa kufundisha lugha ya kiswahili kama lugha ya mawasiliano na kama somo. Nina uzoefu wa mwaka mmoja. Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litashughulikiwa.
Simu: 0716476654
mariamilinga13@gmail.com
Rejelea kichwa cha mada tajwa hapo juu.Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 36,nina shahada ya elimu niliyotunukiwa katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania katika masomo ya Kiswahili na Historia.Ninaomba kuendeleza juhudi za kuikuza na kuieneza lugha ya Kiswahili kokote nje ya nchi.Uzoefu wangu ni wa kutosha katika kuifundisha lugha hii.Naomba ombi langu lisitiwe kapuni.
Ahsante
Simu 0764713502
Rejea mada tajwa hapo juu. Mimi ni Mtanzania, msichana mwenye umri wa miaka 25.Nimehitimu shahada ya Ualimu katika Chuo Kikuu cha TUMAINI MAKUMIRA kilichopo mkoani Arusha mwaka 2018.Nimemakinikia katika masomo ya lugha ya Kiswahili na Kingereza na nipo tayari kufundisha somo la Kiswahili nchini Rwanda na kwingineko ili kukuza lugha hii adhimu. Nategemea majibu chanya kutoka kwako. Natanguliza shukurani za dhati. Mawasiliano; +255 766 101 663
Email;kyaramanka@gmail.com
Mimi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 27, nimehitimu shahada katika chuo kikuu cha mtakatifu AUGOSTIN tawi la JORDAN morogoro mwaka 2015, ni mwalimu wa somo la Kisahili na Historia na ninaweledi wa somo hilo la kiswahili, nzuri zaidi nina uelewa wa lugha ya KINYARWANDA. Hivyo ntafurahi sana kufundisha kiswahili Rwanda na kwingineko. Natanguliza Shukran.
Mawasiliano; +255673416010
Email; Hekimatheonas@gmail.Com
Rejea mada tajwa hapo juu, mimi ni Mtanzania, kijana mwenye umri wa miaka 26, nimehitimu shahada ya ualimu kwa masomo ya kiswahili na historia katika chuo kikuu cha Tumaini Makumira Arusha. Nipo tayali kufundisha kiswahili Nchini Rwanda. Natumaini kuwa ombi langu litafanikiwa.
Sim: 0762397073
Baruapepe: jacksonmsuka48@gemail.com
Rejea mada tajwa hapo juu Mimi nimhitimu Wa shahada ya uzamili chuo kikuu cha kimataifa kampala nchini uganda .Nina fundisha masomo ya kiswahili na jiografia nanimekuwa na ufaulu mzuri kwa somo hilo la kiswahili. Natumaini ombi langu litakubaliwa. Mawasiliano:+225717019495 E-mail: mchale261@gmail.com
Rejea kichwa cha habari hapo juu .mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 30 nimehitimu shahada ya ualimu katika chuo kikuu cha mtakatifu AGOSTINO MWANZA Mwaka 2017.Nina weledi mkubwa katika kufundisha somo la kiswahili,niko tayari kufundisha Nchi yoyote.Nimatumaini yangu kuwa ombi langu litafanikiwa.wako katika ujenzi na ukuzaji wa kiswahili DUNIAN
Mawasiliano 0742769461
Email madarakaj3@gmail.com
Post a comment on this page
We invite you to share your experiences with the Rwandan Embassy — obtaining visas and other services, locating the building, and so on. Your comments may be seen by the public, so please do not include private information.
This web site is not operated by the Embassy and your comments and questions will not necessarily be seen by its staff. Please note that this is not a forum for broad debate about the foreign policy of Rwanda, and such topics will be deleted.